Tous les cantiques

Mungu mtakatifu

Cantique Collection

Paroles

Couplet 1

Mungu Mtakatifu, (Mungu Mtakatifu), Mungu Mtakatifu, (Mungu Mtakatifu).

Umeumba vyote (Umeumba vyote): Mbingu na dunia (Mbingu na dunia) (x2)

Ni ajabu sana (Ni ajabu sana) Kwa umbaji wako (Ee Mwenyezi Mungu). Répéter 2 fois

Couplet 2

Twaona milima, (Twaona ma bonde), Twaona bahari, (Twaona na mito).

Umeumba vyote (Umeumba vyote): Mbingu na dunia (Mbingu na dunia) (x2)

Ni ajabu sana (Ni ajabu sana) Kwa umbaji wako (Ee Mwenyezi Mungu). Répéter 2 fois

Couplet 3

Aksanti Baba, ( kwa umbaji wako), Utukufu wako, (Umejaa na sifa).