Saa imegonga moyoni
Impimbano Fr Déo Musinguzi
Paroles
Couplet 1
Saa imegonga Moyoni, Yakurudi Nyumbani kwa Baba; Hebu nifunge mbiyo Mizigo, Meri yangu imeng’oa nanga. Répéter 2 fois
Nangojea Malango ya Mbinguni, Yafunguliwe ili Niingie; Mpaka mwisho wavyo Vita vyangu, Niinue Bendera ya Ushindi. Répéter 2 fois
Couplet 2
Ninaona kwa mbali Kiroho, Giza imevamiya Njiani; Hebu nitwae Taa na Mafuta, Niangaze kimbele Njiani. Répéter 2 fois
Nangojea Malango ya Mbinguni, Yafunguliwe ili Niingie; Mpaka mwisho wavyo Vita vyangu, Niinue Bendera ya Ushindi. Répéter 2 fois
Couplet 3
Upendo ndio kamba Kamili, Yakuyafunga Matendo yangu; Mzigo wa Matunda ya Roho, Ndiyo ripoti njema kwa Bwana.
Bahari zikivuma kwa nguvu, Hazitazima upendo wangu; Maana ndio nguvu Moyoni, Zakuitembeza meri yangu. Répéter 2 fois
Nangojea Malango ya Mbinguni, Yafunguliwe ili Niingie; Mpaka mwisho wavyo Vita vyangu, Niinue Bendera ya Ushindi. Répéter 2 fois