Tous les cantiques

Anipenda ni kweli Yesu anipenda

Tenzi za Roho · n° 28

Paroles

T.R 28 - Anipenda ni kweli

Couplet 1

Anipenda ni kweli; Mungu anena hili; Sisi wake watoto; kutulinda si zito.

Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema.

Couplet 2

Kwa kupenda akafa Niokoke na kufa; Atazidi taka, Sana ataniweka.

Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema.

Couplet 3

Anipenda kabisa; Niuguapo sasa Anitunza Mbinguni Nniliyelala chini.

Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema.

Couplet 4

Kunipenda haachi, Tu sote hapa chini Baada ya mashaka Kwake tanipeleka.

Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema.