Siku yangu ya kuona Bwana
Cantique Collection · n° 360
Paroles
C.C 360 - SIKU YANGU
Couplet 1
Siku yangu ya kuona Bwana Inakaribia sana, Ninaamini kuona Yesu, Uzima wangu. Répéter 2 fois
(Bwana kuja) Bwana kuja twende, (Tuende kwetu) Bwana kuja twende, (Kule Mbingu) Bwana kuja twende, (Tunachoka) Bwana kuja twende, (Na dunia) Bwana kuja twende.
Couplet 2
Natamani kwa moyo wangu, Kwenda pamoja na Yesu Na kukaa Naye milele Pa kiti cha Enzi. Répéter 2 fois
(Bwana kuja) Bwana kuja twende, (Tuende kwetu) Bwana kuja twende, (Kule Mbingu) Bwana kuja twende, (Tunachoka) Bwana kuja twende, (Na dunia) Bwana kuja twende.
Couplet 3
Ndugu zangu tukaze mwendo, Tusirudi nyuma tena; Vya dunia vinanza kwisha, Twende, twende kwetu. Répéter 2 fois