Tous les cantiques

Ee Yesu nataka usafi kwa Roho

Nyimbo za Mungu · n° 241

Paroles

Couplet 1

Ee Yesu, nataka usafi kwa roho, Nataka uishi daima moyoni; Ondosha sanamu, uchafu wo wote, Na unisafishe nipate usafi.

Unisaidie sasa kutubu, Ee, Unisafishe nipate usafi.

Couplet 2

Ee Yesu, tazama na unisaidie, Nataka kuishi kwa kukupendeza. Sitaki kufanya mapenzi ya mwili, Ee unisafishe nipate usafi.

Unisaidie sasa kutubu, Ee, Unisafishe nipate usafi.

Couplet 3

Ee Yesu, sikia na jibu., Ingia moyoni, unibadilishe; Nataka salama, nataka furaha, Ee unisafishe nipate usafi.

Unisaidie sasa kutubu, Ee, Unisafishe nipate usafi.