Heri kabisa Yesu ni wangu
Nyimbo za Mungu · n° 138
Paroles
Couplet 1
Heri kabisa, Yesu ni wangu Ni Muchungaji, na mimi ni wake; Nimezaliwa mara ya pili, Ninasafishwa kwa Damu yake.
Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele. Répéter 2 fois
Couplet 2
Kule Mbinguni kuna furaha Juu ya mwenye kutubu makosa; Nilisikia Neno la Mungu, Nilijitoa kwa Bwana Yesu.
Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele. Répéter 2 fois
Couplet 3
Ninashukuru Yesu Mwokozi, Na roho yangu inashangilia; Mimi si kitu mbele ya Mungu, Kwa Neema yake ananipenda.
Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele. Répéter 2 fois
Couplet 4
Ninastarehe sasa kwa Yesu, Nina salama kutoka kwa Mungu Ninangojea Yesu afike Kunipeleka kwake Mbinguni.
Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele. Répéter 2 fois