Tous les cantiques

Yo yote uonayo huku katika mwendo

Nyimbo za Wokovu · n° 16

Paroles

Wokovu 16 - Yo yote uonayo huku

Couplet 1

Yo yote uonayo huku katika mwendo wako, yafaa ku’mwambia Yesu, atakusaidia.

Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi Neema yake, ataokoka na hatia, na atasifu Yesu.

Couplet 2

Ukichukiwa na rafiki na ukijaribiwa, Mwokozi yu karibu sana, maombi asikia.

Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi Neema yake, ataokoka na hatia, na atasifu Yesu.

Couplet 3

Ukiwa mwana mpotevu, na mbali na babako, amani una’kosa sasa, urudi kwake Yesu!

Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi Neema yake, ataokoka na hatia, na atasifu Yesu.

Couplet 4

Ukiwa na makosa mengi, na roho yako ngumu, Neema yake yakutosha, utubu dhambi zako!

Kwa kuwa kila aombaye Mwokozi Neema yake, ataokoka na hatia, na atasifu Yesu.

Couplet 5

Ikiwa nguvu mara nyingi kuomba kwa bidii, uombe Baba, kama mwana, akusikia kweli!