Tous les cantiques

Nikiona udhaifu na imani haba

Nyimbo za Wokovu · n° 47

Paroles

Couplet 1

Nikiona udhaifu na imani haba, nikijaribiwa sana, Yesu anilinda.

Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.

Couplet 2

Peke yangu sitaweza kuambata yeye, pendo langu ni dhaifu; Yesu anilinda.

Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.

Couplet 3

Mimi mali yake sasa, alinikomboa, alitoa Damu yake; Yesu anilinda.

Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.

Couplet 4

Haniachi kupotea, anilinda sana. Kila ’mwaminiye kweli, Yesu amlinda

Anilinda vema, anilinda vema, kwani Yesu anipenda, anilinda vema.